Jinsi ya Ununuaji wa Filamu

 

Nunua filamu kutoka kwetu kwa kufuata hatua zifuatazo:-
 
Hatua ya 1: Fanya Chaguo
 
Fungua tovuti yetu ya LutanaFilms.com ili kuchagua filamu unayotaka (Kwa kuwa uko hapa utakuwa umevuka hatua hii).
 
Hatua ya 2: Tuma Maelezo
 
Tutumie ujumbe wa maelezo yako yafuatayo kwa njia ya WhatsApp yetu.

1. Jina lako.
2. Jina la filamu uliyochagua.
3. Namba yako ya WhatsApp (Itatumika kupokea link ya kupakua filamu). 
 

Hatua ya 3: Fanya Malipo Yako

Hapa tuna njia kadhaa na rahisi za kulipia filamu kwa njia ya simu ya mkononi. Chagua njia rahisi kwako kati ya hizi ili kufanya malipo yako.

Namba ya Mixx by Yas ni 0675460506 hakikisha jina linatokea Shimiko Lutana.
Lipa namba ya Mixx by Yas ni 000000 hakikisha jina 
linatokea Shimiko Lutana.
 
Namba ya M-Pesa ni 0769124947 hakikisha jina 
linatokea Shimiko Lutana.
Lipa namba ya M-Pesa ni 000000 hakikisha jina 
linatokea Shimiko Lutana.
 
Namba ya Airtel Money ni 0675460506 hakikisha jina 
linatokea Shimiko Lutana. 
Lipa namba ya Airtel Money ni 000000 hakikisha jina 
linatokea Shimiko Lutana.  

Tafadhari usisahau kutuma picha ya uthibitisho wa malipo ambayo umefanya, hatutathibitisha ikiwa hatujapokea uthibitisho wa malipo wa picha. Baada ya kuthibitisha tutatuma link ya filamu uliyonunua kwa njia ya WhatsApp yako. 

Kwa changamoto yoyote utakayokutana nayo kwenye huduma yetuwasiliana nasi kwa usaidizi zaidi.

Tupo mtandaoni kuanzia saa 8:30 asubuhi hadi saa 12:00 usiku kwa ajili ya usaidizi kwa wateja wetu! 

Kumbuka

Tovuti yetu ina trela za filamu zilizotafsiriwa na ambazo hazijatafsiriwa kwa sababu ya sheria ya hakimiliki (“DMCA”) inayotuzuia kupakia baadhi ya trela zilizotafsiriwa kwenye YouTube yetu. 

Tutafurahi kukuhudumia ipasanyo!