Jinsi ya Upakuaji wa Filamu

 

Fuata mwongozo wetu ufuatao wa jinsi ya kupakua filamu zetu:-

Hatua ya 1:  Link ya Upakuaji

Utakapotumiwa link ya kupakua, utabofya na utaelekezwa kwenye ukurasa ambao filamu imehifadhiwa. 

Ukiwa kwenye ukurasa ilipohifadhiwa filamu, utabofya "alama ya download" (iko juu kulia) kama inavyoonekana kwenye picha.


Hatua ya 2: Download Anyway

Mwisho, bofya kitufe cha "Download anyway" kama kinavyoonekana kwenye picha, na upakuaji wako utaanza kiotomatiki baada ya sekunde chache.

Zingatia kwamba, wakati wa kutazama filamu ni vema kutumia VLC media player ya hivi karibuni au media player nyingine ya hali ya juu. Enjoy!