Wasiliana Nasi

 
Usaidizi wetu wa saa 24/7 unapatikana ili kuwasaidia wateja wetu. Tunahakikisha kuwa maswali yako yote yanajibiwa kwa wakati na kwa njia ya kitaalamu.
 
Usaidizi wa Jumla
 
Kwa maswali, ushauri, na malalamiko, tafadhali wasiliana nasi kupitia mojawapo ya njia zilizo hapa chini.
 
 Piga simu: Bofya kupiga Moja kwa Moja
WhatsApp: Chati Moja kwa Moja 
Barua pepe: Ujumbe kwa Barua pepe
Facebook: Ujumbe kwa Facebook  
 
Anwani ya Ofisi Yetu
 
Tunapatikana Mtaa wa Likoma na Aggrey, Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania.

Tutafurahi kujibu maswali yako vema.